Misaada ya Kujifunza
Mosia, Wana wa


Mosia, Wana wa

Katika Kitabu cha Mormoni, ni wana wa nne wa Mfalme Mosia ambao waliongolewa baada ya malaika kuwatokea na kuwaamuru watubu. Majina yao yalikuwa Amoni, Haruni, Omneri, na Himni (Mos. 27:34). Walitumia miaka kumi na minne kwa mafanikio wakihubiri injili kwa Walamani. Kumbukumbu ya huduma yao miongoni mwa Walamani imetolewa katika kitabu cha Alma, mlango wa 17 hadi 26.

Chapisha