Mwangamizi Ona pia Ibilisi Shetani ndiye mwangamizi. Bwana hatakubali mwangamizi aingie nyumbani mwenu, Ku. 12:23. Yule mwangamizi atembea juu ya maji, M&M 61:19. Yule mlinzi angeliweza kuliokoa shamba langu la mizabibu kutoka kwa yule mwangamizi, M&M 101:51–54.