Bahari ya Chumvi
Bahari ya chumvi iliyo mwisho upande wa kusini wa Bonde la Yordani. Pia ilijulikana kama Bahari ya chumvi. Eneo lake lapata karibu futi 1300 (mita 395) chini ya usawa wa Bahari ya Mediteraniani. Miji ya Sodoma, Gomora, na Soari au Bela ilikuwa karibu na pwani yake (Mwa. 14:2–3).
Katika kutimia kwa unabii na kama moja ya ishara za Ujio wa Pili wa Mwokozi, maji haya ya Bahari ya Chumvi yataponywa, na maisha yatashamiri huko (Eze. 47:8–9).