Himiza, Kikwazo Ona pia Roho Mtakatifu Kumsihi sana mtu ili afanye au asifanye jambo fulani, hususani kwa muongozo au nguvu za Roho Mtakatifu. Roho iliyo ndani yangu hunihimiza, Ayu. 32:18. Upendo wa Kristo watubidisha, 2Â Kor. 5:14. Nilishurutishwa na Roho kwamba nimuue Laban, 1Â Ne. 4:10. Roho ananizuia, Alma 14:11. Nilishurutishwa kulingana na agano, Alma 60:34. Amaroni, akiwa anashurutishwa na Roho Mtakatifu, aliyaficha maandishi yale, 4Â Ne. 1:48. Kile ambacho huja hutoka juu lazima kisemwe kwa kushawishiwa na Roho, M&M 63:64.