Safina Ona pia Gharika katika Wakati wa Nuhu; Nuhu, Patriaki wa Biblia; Upinde wa mvua Katika Agano la Kale, ni safina iliyojengwa na Nuhu ili kulinda uhai wakati wa Gharika kuu. Ujifanyie safina ya mti wa mvinje, Mwa. 6:14. Safina ikatua juu ya milima ya Ararati, Mwa. 8:4. Boti za Wayaredi zilikuwa zimekazwa kama safina ya Nuhu, Eth. 6:7.