Hila Ona pia Danganya, Kudanganya, Udanganyifu Katika maandiko, ni ujanja wa ulaghai. Heri mtu yule ambaye rohoni mwake hamna hila, Zab. 32:2 (Zab. 34:13; 1 Pet. 2:1). Nathanaeli alikuwa Mwisraeli ambaye hamna hila ndani yake, Yn. 1:47 (M&M 41:9–11). Maarifa safi huikuza nafsi isiyo na hila, M&M 121:42.