Hisi Ona pia Roho Mtakatifu Kutambua ushawishi wa Roho. Hisia ziliwapata, kwamba hamkuweza kuhisi maneno yake, 1Â Ne. 17:45. Mtakapo hisi mienendo hii ya kuvimba, mtaanza kusema kwamba hii ni mbegu njema, Alma 32:28. Mtahisi kwamba ni sahihi, M&M 9:8. Watu wote watakaoingia katika nyumba ya Bwana wapate kuhisi uwezo wako, M&M 109:13.