Agripa Ona pia Paulo Katika Agano Jipya, ni mwana wa Herodi AgripaÂ â… na nduguye Bernika na Drusila. Alikuwa mfalme wa Chalsi, iliyoko katika milima ya Lebanoni. Alimsikiliza Mtume Paulo naye alikaribia kushawishika kuwa Mkristo (Mdo. 25–26; JS—H 1:24).