Kayafa Ona pia Anasi; Masadukayo Katika Agano Jipya, ni kuhani mkuu na mkwewe Anasi. Kayafa alichukuwa nafasi muhimu katika kuwapinga Yesu Kristo na wanafunzi Wake (Mt. 26:3–4; Yn. 11:47–51; 18:13–14).