Fanywa Upya, Urejesho Ona pia Urejesho wa Injili Kurudi kwa kitu au hali ambayo iliondolewa au kupotea. Roho na mwili vitaungana tena katika umbile lake kamilifu, Alma 11:43–44. Urejesho ni kuurudisha uovu kwa uovu, haki kwa haki, Alma 41:10–15. Tunaamini katika urejesho wa Makabila Kumi na Mawili na kwamba dunia itafanywa upya na kupokea utukufu wake wa kiparadiso, M ya I 1:10 (M&M 133:23–24).