Taylor, John Rais wa tatu wa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho. Aliitwa katika Baraza la wale Kumi na Wawili, M&M 118:6 (M&M 124:128–129). Alijeruhiwa katika mauaji haya ya kishahidi, M&M 135:2. Alikuwa miongoni mwa watu maarufu walioonwa na Joseph F. Smith katika ulimwengu wa roho, M&M 138:53–56.