Misaada ya Kujifunza
Anasi


Anasi

Katika Agano Jipya, ni mtu aliyekuwa na uwezo mkuu katika Sanhedrini. Yesu, alipokamatwa, kwanza aliletwa kwake (Yn. 18:13); yeye pia alikuwa mstari wa mbele katika kuwashtaki mitume (Mdo. 4:3–6).

Chapisha