Hajiri Ona pia Ibrahimu; Ishmaili, Mwana wa Ibrahimu Katika Agano la Kale, ni mjakazi wa Sarai aliyekuwa Mmisri. Alikuja kuwa mkewe Ibrahimu na mama wa Ishmaeli (Mwa. 16; 25:12; M&M 132:34, 65). Bwana alimwahidi Hajira kwamba taifa kubwa litakuja kutoka kwa mwanawe (Mwa. 21:9–21).