Kuwa katika maafikiano na mafundisho ya Mungu na kuishi kama Mungu anavyopenda watu Wake waishi; kuwa msikivu na mtiifu kwa ushawishi wa Roho Mtakatifu.
Nipate kuwajaribu, kwamba watatembea katika sheria zangu, ama sivyo, Ku. 16:4 .
Hawatanyimwa kitu chema, hao watembeao wima, Zab. 84:11 .
Wale waendao katika amri zangu na kuyashika maagizo yangu watakuwa watu wangu, Eze. 11:20–21 (Kum. 8:6 ).
Bwana anataka nini kwako, ila kwamba kwenda kwa unyenyekevu na Mungu, Mika 6:8 (M&M 11:12 ).
Enenda katika njia nyembamba iongozayo kwenye uzima, 2Â Ne. 33:9 .
Mfalme Benjamini alitembea kwa dhamira iliyosafi mbele za Mungu, Mos. 2:27 .
Wajibu wenu ni kutembea bila lawama kwa mfano mtakatifu wa Mungu, Alma 7:22 .
Waumini wa Kanisa wataonyesha mwenendo na mazungumzo ya kiuchamungu, M&M 20:69 .
Wasikieni manabii na kutembea katika utakatifu wote mbele za Bwana, M&M 21:4 .
Wafundisheni watoto kusali na kutembea wima mbele za Bwana, M&M 68:28 .