Boazi Ona pia Rutu Mumewe Ruthu (Rut. 4:9–10); babu-mkuu wa Daudi, mfalme wa Israeli (Rut. 4:13–17); na babu wa Kristo, mfalme wa wafalme (Lk. 3:32).