Kisasi Ona pia Uadui Lipiza kisasi au rudishia mabaya kwa majeraha au mabaya yaliyofanywa. Mungu wenu atakuja na kisasi, Isa. 35:4. Kisasi ni juu yangu mimi, mimi nitalipa, Rum. 12:19 (Morm. 3:15; 8:20). Upanga wa kisasi unaningʼinia juu yenu, Morm. 8:40–41. Nitalipiza kisasi juu ya waovu, kwa kuwa hawatatubu, M&M 29:17. Bwana alikuja katika siku za uovu na kisasi, Musa 7:45–46.