Mtoza Ushuru Ona pia Ufalme wa Kirumi Katika Rumi ya kale, ni mtoza ushuru kwa ajili ya serikali. Watoza ushuru kwa ujumla walichukiwa na Wayahudi. Baadhi ya watoza ushuru walikuwa tayari kuikubali injili (Mt. 9:9–10; Lk. 19:2–8).