Simoni Mkanani Katika Agano Jipya, ni mmoja kati ya Mitume Kumi na Wawili wa mwanzoni wa Yesu Kristo (Mt. 10:2–4).