Staha Ona pia Mnyenyekevu, Unyenyekevu Tabia au sura ilio nyenyekevu, ya wastani, na ya heshima. Mtu aliye na staha huepuka matendo mabaya ya kupindukia na kujisingizia. Mungu akafanya mavazi ya ngozi, na akawavika Adamu na Hawa, Mwa. 3:21 (Musa 4:27). Wanawake na wajipambe wenyewe kwa mavazi ya staha, 1 Tim. 2:9. Kuweni wenye uangalifu, usafi, na kufanya kazi nyumbani, Tit. 2:5. Wengi wamejiinua juu kwa kiburi kwa sababu ya gharama ya mavazi yao, Yak. (KM) 2:13. Na mavazi yenu yote yawe ya kawaida, M&M 42:40. Tunaamini katika kuwa wasafi na wema, M ya I 1:13.