Manungʼuniko Ona pia Uasi Kunungʼunika na kulalamika dhidi ya makusudi, mipango au watumishi wa Mungu. Watu wakamnungʼunikia Musa, Ku. 15:23–16:3. Wayahudi wakamnungʼunikia Yesu, Yn. 6:41. Lamani na Lemueli walinungʼunika katika mambo mengi, 1 Ne. 2:11–12 (1 Ne. 3:31; 17:17). Usinungʼunike kwa sababu ya vitu ambavyo hujaviona, M&M 25:4.