Omba Ona pia Sala Kuuliza, swali, au kumwomba Mungu kwa ajili ya upendeleo maalumu. Ombeni, nanyi mtapewa, Mt. 7:7. Lakini mtu wa kwenu akipungukiwa na hekima, na aombe dua kwa Mungu, Yak. (Bib.) 1:5 (JS—H 1:7–20). Niombeni kwa imani, 1 Ne. 15:11. Kama hamwezi kufahamu maneno haya, itakuwa ni kwa sababu hamuombi, 2 Ne. 32:4. Muombe kwa moyo wa dhati, Mos. 4:10. Mungu huwapatia chochote mnachoomba kile kilicho sahihi, kwa imani, Mos. 4:21. Mwulizeni Mungu kama mambo haya si ya kweli, Moro. 10:4. Huipenda giza kuliko nuru; kwa hiyo wao hawataniomba mimi, M&M 10:21. Mnaamriwa katika mambo yote kumwomba Mungu, M&M 46:7.