Raheli Ona pia Yakobo, Mwana wa Isaka Katika Agano la Kale, ni mke wa Yakobo (Mwa. 29–31; 35). Pia alikuwa mama wa Yusufu na Benjamini.