2010–2019
Uidhinishaji wa Maofisa wa Kanisa
Aprili 2014


9:25

Uidhinishaji wa Maofisa wa Kanisa

Inapendekezwa kwamba tumuidhinishe Thomas Spencer Monson kama nabii,mwonaji na mfunuaji na Rais wa Kanisa la Yesu kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho; Henry Bennion Eyring kama Mshauri wa Kwanza katika Urais wa Kwanza; na Dieter Friedrich Uchtdolf kama mshauri wa Pili katika Urais wa Kwanza.

Wale wanaokubali wanaweza kudhihirisha.

Wale wanaopinga, kama wapo, wanaweza kudhihirisha.

Inapendekezwa kwamba tuwadhihirishe Boyd Kenneth Packer kama Rais wa Jamii ya Mitume Kumi na Wawili na wafuatao kama washiriki wa jamii hiyo: Boyd K. Packer, L. Tom Perry, Russell M. Nelson, Dallin H. Oaks, M. Russell Ballard, Richard G. Scott, Robert D. Hales, Jeffrey R. Holland, David A. Bednar, Quentin L. Cook, D. Todd Christofferson, and Neil L. Andersen.

Wale wanaokubali, tafadhali dhihirisheni.

Yeyote anayepinga,anaweza kuonyesha.

Inapendekezwa kwamba tuwaidhinishe washauri katika Urais wa Kwanza na Jamii ya Mitume Kumi na Wawili kama manabii, waonaji, na wafunuaji.

Wote wanaokubali, tafadhali dhihirisheni

Kinyume, kama kunaye yeyote, kwa ishara hiyo hiyo.

Kwa wakati huu tunawaachilia kwa shukrani kamili Mzee Tad R. Callister kama Kiongozi Mkuu Mwenye Mamlaka na mshiriki wa Urais wa Jamii za Wale Sabini.

Wale ambao watapenda kujiunga nasi katika kura ya shukrani, tafadhali dhihirisheni.

Inapendekezwa kwamba tumwidhinishe Mzee Lynn G. Robbins kama mshiriki wa Urais wa Jamii za Wale Sabini.

Wote wanaokubali, tafadhali dhihirisheni

Wale wanaopinga, kama wapo.

Inapendekezwa kwamba tuwaachilie wafuatao kama Sabani wa Eneo, kuanzia Mei 1, 2014: Pedro E. Abularach, Julio A. Angulo, Victor A. Asconavieta, Duck Soo Bae, Juan C. Barros, Colin H. Bricknell, Dennis C. Brimhall, Thomas M. Cherrington, Kim B. Clark, Wynn R. Dewsnup, Rodolfo C. Franco, G. Guillermo Garcia, Julio C. González, Mauro Junot De Maria, Larry S. Kacher, David E. LeSueur, Paulo C. Loureiro, Steven J. Lund, Abraham Martinez, Hugo E. Martinez, Sergey N. Mikulin, Christopher B. Munday, Hirofumi Nakatsuka, Chikao Oishi, Alejandro S. Patanía, Renato M. Petla, Anatoly K. Reshetnikov, Jonathan C. Roberts, J. Craig Rowe, Robert B. Smith, Warren G. Tate, Hesbon O. Usi, Taniela B. Wakolo, Randy W. Wilkinson, and Chi Hong (Sam) Wong.

Wale wanaopenda kujiunga nasi kuoynesha shukrani zetu kwa huduma yao nzuri sana, tafadhali dhihirisheni.

Inapendekezwa kwamba tuwaachilie kwa kura ya shukrani Ndugu Russell T. Osguthorpe, David M. McConkie, na Matthew O. Richardson kama Urais Mkuu wa Shule ya Jumapili.

Vile vile tunawaachilia washiriki wote wa bodi kuu ya Shule ya Jumapili.

Wale wote wanaopenda kujiunga nasi katika kuonyesha shukrani kwa wandugu hawa na kina dada kwa huduma yao na upendo, tafadhali dhihirisheni.

Inapendekezwa kwamba tuwaidhinishe kama washiriki wapya wa Jamii ya Kwanza ya Wale Sabini Chi Hong (Sam) Wong na Jörg Klebingat na kama washiriki wapya wa Jamiii ya Pili ya Wale Sabini Larry S. Kacher na Hugo E. Martinez.

Wote wanaokubali, tafadhali idhinisheni.

Wale wanaopinga, kwa ishara hiyo hiyo.

Inapendekezwa kwamba tuwaidhinishe wafuatao kama Sabini wa Eneo wapya: Julio Cesar Acosta, Blake R. Alder, Alain C. Allard, Taiichi Aoba, Carlos F. Arredondo, Vladimir N. Astashov, Jorge T. Becerra, Michael H. Bourne, Romulo V. Cabrera, Jose Claudio F. Campos, Nicolas Castañeda, Walter Chatora, Fook Chuen Zeno Chow, J. Kevin Ence, K. Mark Frost, Mauricio G. Gonzaga, Leonard D. Greer, Jose Isaguirre, Michael R. Jensen, Adolf Johan Johansson, Tae Gul Jung, Wisit Khanakham, Serhii A. Kovalov, Sergio Krasnoselsky, Milan F. Kunz, Bryan R. Larsen, Geraldo Lima, W. Jean-Pierre Lono, Tasara Makasi, Khumbulani Mdletshe, Dale H. Munk, Eduardo A. Norambuena, Yutaka Onda, Raimundo Pacheco De Pinho, Marco Antonio Rais, Steven K. Randall, R. Scott Runia, Alexey V. Samaykin, Edwin A. Sexton, Raul H. Spitale, Carlos Walter Treviño, and Juan A. Urra.

Wote wanokubali, tafadhali dhihirisheni.

Wale wanaopinga, kama wapo.

Inapendekezwa kwamba tuwaidhinishe Tad R. Callister Kama rais mkuu wa Shule ya Jumapili, pamoja na John S. Tanner kama mshauri wa kwanza na Devin G. Durrant kama mshauri wa pili.

Wale wanaokubali wanaweza kudhihirisha.

Yeyote anayepinga anaweza kuonyeshe.

Tunafahamu kwamba Ndugu Tanner na Durrant wote kwa sasa wanahudumu kama marais wa misheni na kwa hivyo, hawapo katika mahudhurio hapa Kituo cha Mkutano Mkuu.

Wataanza huduma yao rasmi katika urais mkuu wa Shule ya Jumapili kufuatia kuachiliwa kwao kama marais wa misheni katika mwezi wa Julai 2014.

Inapendekezwa kwamba tuwaidhinishe Viongozi Wakuu wenye Mamlaka,Sabini wa Eneo, na urais mkuu wa makundi saidizi kama ilivyopangwa kwa sasa.

Wale wanaokubali,tafadhali dhihirisheni.

Yeyote anayepinga anaweza kudhihirisha.

Asanteni ndugu na akina dada, kwa kura zenu za idhinisho na kwa mwendelezo wa imani na maombi kwa niaba yetu.

Tunawaalika Viongozi Wakuu wenye Mamlaka wapya walioitwa waje mbele na wachukuwe nafasi zao kwenye jukwa.