Aprili 2014 Kikao cha Jumamosi Asubuhi Kikao cha Jumamosi Asubuhi Thomas S. MonsonKaribuni Kwenye Mkutano MkuuTumeungana katika imani yetu na matumaini yetu kusikiliza na kujifunaza kutoka jumbe ambazo zitatolewa kwetu. Jeffrey R. HollandGharama---na Baraka---za UfuasiKuweni wenye nguvu. Muishi injili kwa uaminifu hata kama wengine wanaowazunguka hawafanyi hivyo kamwe. Ronald A. RasbandMzigo wa Furaha wa UfuasiKuwaidhinisha viongozi wetu ni fursa; huja na jukumu la kibinafsi la kushiriki mizigo yao na kuwa wafuasi wa Bwana. Carlos H. AmadoKristo aliye MkomboziDhabihu [ya Mkombozi] ilibariki kila mtu, kutoka kwa Adamu, binadamu wa kwanza, hadi binadamu wa mwisho. Linda S. ReevesUlinzi kutokana na Ponografia—Nyumba Yenye Kiini cha KristoChujio kuu duniani … ni chujio la kibinafsi la undani ambalo hutokana na ushuhuda wa kina na unaodumu. Neil L. AndersenVimbunga vya KirohoMsiache vimbunga viwaangushe chini. Hizi ni siku zenu---simameni imara kama wafuasi wa Bwana Yesu Kristo. Henry B. EyringUrithi wa Tumaini wa Thamani MnoUnapochagua kama utafanya ama utaweka agano na Mungu, unachagua kama utaacha urithi wa tumaini kwa wale ambao huenda wakafuata mfano wako. Kikao cha Jumamosi Mchana Kikao cha Jumamosi Mchana Dieter F. UchtdorfUidhinishaji wa Maofisa wa Kanisa Richard G. Scott“Nimewapa Kielelezo”Mwelekezi mkuu aliyewahi kuishi duniani ni Mwokozi wetu. …Yesu Kristo. Anatualika tufuate kielelezo chake kamilifu. W. Craig ZwickUnafikiria Nini?Nawasihi ninyi mfanyie mazoezi kuuliza swali hili, kwa fikra ororo kwa uzoefu wa wengine: “Unafikiria nini?” Quentin L. CookMizizi na MatawiKuharakisha kazi ya historia ya familia na hekalu katika siku zetu ni muhimu kwa wokovu na kuinuliwa kwa familia. Kikao cha Ukuhani Kikao cha Ukuhani Dallin H. OaksFunguo na Mamlaka ya UkuhaniFunguo za ukuhani zinawaelekeza wanawake na wanaume vile vile, na maagizo ya ukuhani na mamlaka ya ukuhani yanafungamana na wanawake na wanaume vile vile. Donald L. HallstromWatu wa aina gani?Ni mabadiliko gani yanayohitajika kutoka kwetu ili kuwa aina ya wanaume tunaofaa kuwa? Randall L. RiddKizazi Kiteule.Ninyi mliteuliwa kushiriki katika kazi Yake katika wakati huu kwa sababu Yeye anawaamini mtafanya chaguo sahihi. Dieter F. UchtdorfUnalala Wakati wote wa Urejesho?Kuna mambo mengi hatarini kwetu binafsi, kama familia, na kama Kanisa la Kristo kutoa tu nusu ya juhudi zetu katika kazi hii tukufu. Henry B. EyringMtu wa UkuhaniUnaweza kuwa mfano bora, wa wastani, au mfano mbaya. Unaweza Kufikiria haijalishi kwako, lakini inajalisha kwa Bwana. Thomas S. MonsonUwe Hodari na Moyo wa UshujaaAcha sisi tuwe na ujasiri wa kukataa makubaliano, ujasiri wa kisimama kwa kanuni Kikao cha Jumapili Asubuhi Kikao cha Jumapili Asubuhi Dieter F. UchtdorfShukrani katika Hali Yoyote.Je! Sisi hatuna sababu ya kujawa na shukrani, bila kujali hali ambazo sisi tunajipata ndani yake? M. Russell BallardKufuatiliaTunaweza sote kuwa na uthabiti zaidi katika kujuhusisha na kazi ya umisionari kuwa kubadilisha uoga wetu na imani ya kweli Jean A. Stevens“Usiogope; Maana Mimi ni Pamoja Nawe’Tunapokuza matumaini makuu na imani katika Bwana, tunaweza kupata nguvu Zake za kutubariki na kutokomboa. Gary E. StevensonDakika Zako NneMuujiza wa Upatanisho unaweza kuziba mapungufu katika utendaji wetu. David A. BednarWabebe Mizigo Yao kwa UrahisiMizigo ya kipekee katika maisha yetu inatusaidia sisi kutegemea wema, rehema, na neema za Masiya Mtakatifu. Thomas S. MonsonUpendo---Asili ya InjiliSisi hatuwezi kumpenda Mungu kikweli kama sisi hatuwapendi wasafiri wenzetu katika safari hii ya maisha ya duniani. Kikao cha Jumapili Mchana Kikao cha Jumapili Mchana Boyd K. PackerShahidiNingependa kushiriki nanyi zile kweli ambazo ni za thamani sana kuzijua. William R. WalkerIshi Mkweli kwa ImaniKila mmoja wetu atabarikiwa sana kama tutajua hadithi za imani na kujitolea ambazo ziliwaelekeza mababu zetu kujiunga na Kanisa la Bwana. L. Tom PerryUtiifu kupitia Uaminifu WetuUtiifu ni nembo ya imani yetu katika hekima na nguvu za mamlaka kuu kabisa, hata Mungu Lawrence E. CorbridgeNabii Joseph SmithMafunuo ambayo yalitiririka juu ya Joseph Smith yanathibitisha kwamba yeye alikuwa nabii wa Mungu. Michael John U. Teh“Pale Hazina Yenu Ilipo …”Kama sisi hatutakuwa makini, tutaanza kufukuzana na mambo ya muda badala ya, ya kiroho. Marcos A. AidukaitisKama Mnapungukiwa na HekimaMungu atafunua ukweli kwa wale wanaoutafuta kama ilivyoandikwa katika maandiko. D. Todd ChristoffersonUfufuo wa Yesu KristoYesu wa Nazareti ndiye Mkombozi aliyefufuka, na mimi nashuhudia yale yote yanayofuatia kutokana la Ufufuo Wake. Thomas S. MonsonMpaka Tutapokutana TenaNa Roho tuliyohisi katika hizi siku mbili iwe na iendelee kuwa nasi tunapoendelea na vile vitu vinavyotushughulisha sisi kila siku. Mkutano Mkuu wa Kinamama Mkutano Mkuu wa Kinamama Rosemary M. WixomKuweka Maagano Hutulinda, Hutuandaa, na Hutupa NguvuSisi ni mwanawake wa kuweka maagano katika vizazi vyote tukitembea katika mapito ya maisha ya muda tukirudi tena katika uwepo Wake. Bonnie L. OscarsonUdada: Ee, Ni kwa Jinsi Gani Tunahitajiana Linda K. BurtonInahitajika: Mikono na Mioyo ya Kuharakisha Kazi Henry B. EyringMabinti katika AganoIle njia … tunalazimika kuchukua katika safari yetu ya kurudi kwa Baba yetu wa Mbinguni … imepambwa na maangano matakatifu na Mungu.