Kweli kuhusu Mkuatano Mkuu Zaidi ya watu 100,000 huudhuria vikao vitano katika Kituo cha Mikutano katika Jiji la Salt Lake, Utah, Marekani Watu katika nchi221 na wilaya wanaangalia Mkutano Mkuu Hotuba zinatafsiriwa katika lugha 94 Mbao za mimbari katika Kituo cha Mikutano zilitoka kwenye mti mzee wa Walnut wa Rais Gordon B. Hinckley (1910–2008) Ndege aina ya Boeing 747—ambayo ni kama futi 230 (70.5m) kwa urefu—ingeweza kutosha ndani ya Kituo cha Mikutano Rais Russell M. Nelson ametoa hotuba 84 za mkutano mkuu katika miaka yake 34 kama Kiongozi Mkuu Mwenye Mamlaka Kinanda katika Kituo cha Mikutano kina mabomba 7,667 —lakini ni karibu mabomba 170 tu yanaweza kuonekana na hadhira Karibu hotuba 35 hutolewa katika kila mkutano Matangazo muhimu yaliyotolewa wakati wa mkutano mkuu: Sept. 1995: “Familia: Tangazo kwa Ulimwengu” Apr. 1998: Ujenzi wa mahekalu madogo Apr. 2001: Mfuko Endelevu wa Elimu ulianza Okt.2012: Umri wa umisionari ulipunguzwa Apr. 2018 Kuhudumu kunachukua nafasi ya ualimu wa nyumbani na utembeleaji wa nyumbani