“Kwa waumini vijana wa kanisa, ninaahidi kwamba kama utasikiliza [mkutano mkuu], utamhisi Roho akikutia msukumo ndani yako. Bwana atakwambia nini Anataka ufanye katika maisha yako.”
Mzee Robert D. Hales (1932–2017) wa Akidi ya Mitume Kumi na Wawili “Mkutano Mkuu: Kuimarisha imani na Ushuhuda” mkutano mkuu Okt. 2013
Tangazo: Kama Unasikiliza
Oktoba 2018