2023
Ni kwa jinsi gani Ninaweza Kuwa Shahidi wa Yesu Kristo?
Januari 2023


“Ni kwa jinsi gani Ninaweza Kuwa shahidi wa Yesu Kristo?,” Liahona, Jan 2023.

Njoo, Unifuate

Mathayo 2; Luka 2

Ni kwa jinsi gani Ninaweza Kuwa Shahidi wa Yesu Kristo?

Picha
mtoto Yesu akiwa horini

Salama ndani ya Zizi, na Dan Burr

Wakati Yesu Kristo alipozaliwa, makundi kadhaa ya watu yalitambua kwamba Alikuwa Mwokozi aliyeahidiwa. Zaidi ya Mariamu na Yusufu, watu hawa walikuwa ni pamoja na wachungaji, Simeoni, Ana na baadaye, Mamajusi. Walitoa ushuhuda wa uungu wa Yesu Kristo.

Familia na rafiki zetu ni baadhi ya watu muhimu sana ambao tunaweza kushiriki nao ushuhuda wetu juu ya Mwokozi. “Tunazungumza kuhusu Kristo, tunafurahia katika Kristo, tunahubiri kuhusu Kristo, tunatoa unabii kumhusu Kristo, na tunaandika kulingana na unabii wetu, ili watoto wetu wajue chanzo cha kutegemea msamaha wa dhambi zao” (2 Nefi 25:26).

Shughuli

Soma kuhusu jinsi mashahidi hawa walivyojibu wakati walipomwona Yesu Kristo kwa mara ya kwanza. Kisha fikiria kushiriki ushuhuda wako kwa familia yako au kwa baadhi ya marafiki au andika ushuhuda wako ndani ya shajara yako.

Picha
wachungaji

Wachungaji

Luka 2:15–18

Kuzaliwa kwa Yesu Kristo, na Brian Call

Picha
Simeoni

Simeoni

Luka 2:25–33

Simeoni na Kristo © Lars Justinen / Imepata Leseni kutoka Goodsalt.com

Picha
Ana

Ana

Luka 2:36–38

Ana, na James L. Johnson

Picha
Mamajusi

Mamajusi

Mathayo 2:11

Minerva Teichert (1888–1976), The Three Wise Men, 1937, oil on canvas, 60 x 45 inches, Brigham Young University Museum of Art, 1943

Chapisha