Januari 2023 Msikilize YeyeBango lenye sanaa ya kupendeza ya uchoraji na andiko. Karibu kwenye Toleo HiliChristy Monson Nuru ya UlimwenguUtangulizi kwa toleo hili la gazeti na kwenye dhima ya kumgeukia Mwokozi kama chanzo chetu cha nuru. M. Russell BallardNuru ya UzimaRais Ballard anafundisha umuhimu wa kuwa na nuru ya Yesu Kristo katika maisha yetu na kuishiriki kwa wengine. Christy Monson Kupitia Magumu katika MahusianoMwandishi anashiriki uzoefu wa wana ndoa na familia ambao kwa msaada wa Bwana, walipata nguvu za kuzishinda changamoto na kukua kupitia matatizo yao. Jay GowenMazungumzo Muhimu ya KifamiliaMbinu rahisi niliyoigundua kwa ajili ya kuwa na mazungumzo muhimu ni upendo, kusikiliza na kubadilika. Kwa ajili ya WazaziFamilia na Nuru ya UlimwenguMawazo kwa ajili ya wazazi kuwasaidia kuwafundisha watoto wao kwa kutumia magazeti ya Kanisa. Kanisa Liko HapaAuckland, New ZealandMaelezo juu ya ukuaji wa Kanisa huko New Zealand. Kanuni za KuhudumuKuhudumu kwa Maarifa MakubwaHapa ni baadhi ya njia ambazo kukuza sifa kama ya Kristo ya maarifa kunaweza kutusaidia katika kuhudumu kwetu. Misingi ya InjiliFamilia Ni za MileleKanuni za msingi kuhusu nafasi ya familia katika mpango wa Mungu. Taswira za ImaniAgim DedaNguvu ya MfanoMwanamume ambaye anajiunga na Kanisa anamshawishi mke wake kwa mabadiliko anayofanya katika maisha yake, yanayomshawishi mke pia kujiunga na Kanisa. Sauti za Watakatifu wa Siku za Mwisho Berniz de Los SantosUlikuwa wapi?Kijana wa kiume anajifunza subira na upendo mkuu wakati anapomtunza bibi yake ambaye ana ugonjwa wa kufa kwa seli za ubongo. Alison WoodLugha ya RohoKundi la vijana kwenye timu ya dansi wakijifunza kuimba wimbo katika lugha ya hadhira ya Kijerumani, ambao wanaimba wimbo wa shukrani kwao. Samuel KuosmanenKwa nini Sikuweza Kusamehe?Mtu anaweza kumsamehe mtu mwingine baada ya kujifunza kumwona mtu yule kama Bwana anavyomwona. Ross J. Davidson Jr.Kuwa Pale kwa ajili ya Kijana WakoBaba anakuwa mhudhuriaji kamili katika Kanisa baada ya kukosa fursa ya kumtawaza mwanaye kuwa shemasi. Vijana Wakubwa Jenet EricksonKutafuta Kusudi la Kiungu katika Familia Yetu “Yenye Mapungufu”Ufa mkubwa kati ya halisi na kamilifu unatualika kwenye mahusiano ya kina na Yesu Kristo. Breawna P.Unyanyasaji, Kuasiliwa—na UponyajiVyovyote ziwavyo hali zetu, kuna tumaini na uponyaji unaopatikana kwa Yesu Kristo. Kuzeeka Kwa UaminifuNorman C. HillWakati ugonjwa wa kudumu unapokujiaHaya ni baadhi ya mapendekezo ya kiutendaji na yenye kutia matumaini ya jinsi ya kujibu kama ugonjwa wa kudumu unakuwa sehemu ya maisha yako. Njoo, Unifuate Milton CamargoAndaa Udongo Wako wa KirohoKaka Camargo anatutia moyo tumkaribie Mwokozi na kuboresha udongo wetu wa kiroho ili kwamba tuweze kupokea neno wakati tunapojifunza Agano Jipya mwaka huu. Je, Misheni na Huduma ya Kristo Ilikuwa ni Nini?Msaada kwa ajili ya kujifunza kwako Luka 1. Jinsi gani Ninaweza kuwa Shahidi wa Yesu Kristo?Msaada kwa ajili ya kujifunza kwako Mathayo 2 na Luka 2. Jinsi Gani Tumebarikiwa na Nuru ya Ulimwengu?Msaada kwa ajili ya kujifunza kwako Yohana 1 Jinsi Gani Ubatizo Unaonesha Utii?Msaada kwa ajili ya kujifunza kwako Mathayo 3, Marko 1 na Luka 3. Miujiza ya YesuAdam C. OlsonKama Yeye Anaweza Kuyabadili Maji kuwa Divai …Mtazamo wa kile tunachoweza kujifunza kutokana na moja ya muujiza wa kwanza uliorekodiwa uliofanywa na Yesu Kristo wakati wa huduma yake ya duniani. Sanaa ya Agano JipyaMuujiza kwenye Harusi huko KanaSanaa ya kuvutia inayoonesha tukio linalohusiana na maandiko.