“Kumfufua Lazaro,” Liahona, Machi 2023. Sanaa ya Agano Jipya Kumfufua Lazaro “[Yesu] alilia kwa sauti kuu, Lazaro, njoo huku nje. “Akatoka nje yule aliyekufa, amefungwa sanda miguuni na mikononi. … Naye Yesu akawaambia, Mfungueni, mkamwache aende zake.” Yohana 11:43–44 Ufufuo wa Lazaro, na Jusepe de Ribera, hakimiliki ya mchoro Museo Nacional del Prado / Art Resource, NY