Machi 2023 Msikilize YeyeBango lenye sanaa ya kupendeza ya mchoro na andiko. Karibu kwenye Toleo HiliBonnie H. CordonKimbilio kutoka kwenye DhorubaUtangulizi kwenye toleo na kwenye dhima ya kupata amani kupitia Kristo. Dieter F. Uchtdorf“Amani Yangu Nawapa”Mzee Utchdoft anaeleza hatua tunazoweza kuchukua ili kupata amani iliyoahidiwa na Mwokozi. John C. Pingree Jr.Jinsi Utambulisho wa Kiungu Unavyoathiri Kuwa Sehemu ya, na KuwaMzee Pingree anafundisha kwamba tunaweza kuwa sehemu ya, wakati tunapotafuta kumjua Mungu, kumtumaini Mwokozi na kufanya kazi Zao. Kellie ChristensenKufuata Mfano wa Kristo: Kuwajali Walio katika ShidaDondoo za baadhi ya njia nyingi ambazo kupitia hizo Watakatifu wa Siku za mwisho huwasaidia walio katika shida. Kanisa Liko HapaJohannesburg, Afrika KusiniMaelezo juu ya ukuaji wa Kanisa huko Afrika Kusini. Kanuni za KuhudumuKuhudumu kwa Tumaini na ImaniTumaini na imani vinaweza kutusaidia katika juhudi zetu za kuhudumu na vinaweza kuwaimarisha wale tunaowahudumia. Misingi ya InjiliBaraka za UkuhaniKanuni za msingi kuhusu aina tofauti za baraka za ukuhani. Taswira za ImaniJosé G. FrancoDaima Umekuwa UkijuaDondoo kutoka maisha ya Mtakatifu wa Siku za Mwisho wa kila siku. Sauti za Watakatifu wa Siku za Mwisho Bettina MonniMsaada na Tumaini kutoka kwenye Mkutano MkuuMama aliyetoka kujifungua anayesumbuka kwa msongo wa mawazo anasikia ujumbe aliouhitaji hasa. Milla Ray Acevedo CarrascoMtazamo Wangu kutoka JuuMpanda mlima anafuata msukumo na anajifunza somo la thamani kuhusu uvumilivu. David PayneUkumbusho Wangu wa Mnara wa KengeleMmisionari anajutia kutofuata msukumo ambao ungeweza kumpa mtawa muda zaidi wa kujifunza injili. Alejandro ParadaKila Kitu Kitakuwa SawaMwanamume anapokea faraja kutoka kwa mtumishi wa Bwana baada ya baba yake kufanyiwa upasuaji. Vijana Wakubwa Vaiangina SikahemaUshauri wa Kukabiliana na Siku za Baadaye Zenye Kuogofya na Zisizo na UhakikaMzee Sikahema anashiriki baadhi ya masomo aliyojifunza kote katika maisha yake kuhusu kukabiliana na hofu na kukosa uhakika. Maria Celeste Ramirez MendozaUlimwengu Wangu Ulipotiwa Kiza, Nilimgeukia KristoKijana mkubwa anaeleza jinsi alivyoweza kuhamisha mtazamo wake wakati wa majaribu. Kwa ajili ya WazaziKutumaini katika Nguvu na Manabii wa BwanaMawazo kwa ajili ya wazazi kusaidia kuwafundisha watoto wao kwa kutumia magazeti ya Kanisa. Kuzeeka kwa UaminifuRichard M. RomneyHata kama Umezeeka, Hisani Haishindwi KamweWanawake watatu wazee, walioitwa kutumikia kama urais wa Muungano wa Usaidizi, wanashiriki mawazo yao kuhusu kutumikia. Njoo, Unifuate Miujiza ya YesuBonnie H. CordonUwezo wa KuinuaMtazamo kwenye muujiza ambao Yesu aliutenda katika kumfufua binti wa Yairo kutoka wafu na maana yake kwa ajili ya maisha yetu hivi leo. Mwokozi Anawezaje Kunisaidia?Mathayo 8 na Luka 7 huonesha jinsi Bwana anavyowasaidia wenye uhitaji. Inamaanisha Nini Kuitwa na Bwana?Kama vile Mitume Kumi na Wawili katika Mathayo 10, sisi pia tunaitwa na kuahidiwa baraka kwa huduma yetu. Inamaanisha Nini Kuitakasa Siku ya Sabato?Msaada kwa ajili ya kujifunza kwako Mathayo 12. Kristo Anawezaje Kunipa Nguvu ya Kufanya Mambo makubwa?Imani katika Kristo inaweza kutusaidia tufanye miujiza. Desturi za Maziko ya KiyahudiNi zipi baadhi ya desturi za maziko wakati wa Yesu? Sanaa ya Agano JipyaKumfufua LazaroSanaa ya kuvutia inayoonesha tukio linalohusiana na maandiko. Kurasa za Eneo la Afrika ya Kati Kuwa Wakweli kwetu sisi wenyewe, Mungu na wengine Wakati Unapohisi Umepoteza Vyote, Mgeukie Bwana Kanisa Linaboresha Hali ya Elimu katika Jumuia ya Waganda wa Nakivale Vijana Ethiopia Wanachafua Mikono Yao na Kupanda Miti 200 ya Matunda Maafisa Wakuu Wanajiingiza kwenye Huduma kwa Nchi Nne za Afrika ya Kati