Januari 2024 Karibu kwenye Toleo HiliJohn Hilton IIIMtu Mkuu katika Kitabu cha MormoniAkiongelewa zaidi ya mara 7,000 katika Kitabu cha Mormoni, Yesu Kristo ndiye mtu mkuu. Makala Zilizoangaziwa Henry B. EyringNuru Yetu NyikaniRais Eyring anafundisha kwamba Kitabu cha Mormon ni nuru ambayo inaweza kuangaza safari ya maisha yetu na kutuongoza sisi kwa Mwokozi. Denelson SilvaTafuta kwa Bidii nawe UtapataMzee Silva anafundisha kwamba Bwana amefunua jinsi gani tunaweza kutafuta ukweli na mwelekeo katika maisha yetu. John Hilton III na Madison SinclairYesu Kristo katika Kitabu cha MormoniNi mara ngapi Bwana ametajwa katika Kitabu cha Mormoni? Ted BarnesKusoma Polepole: Kumwona Mwokozi katika MaandikoNi kwa jinsi gani kusoma maandiko kunaweza kuwa kama kutembelea makumbusho ya sanaa. Becca Aylworth WrightKozi za Kujitegemea: Kuunganisha Masuala ya Kifedha na Kweli za InjiliKozi za Kanisa za elimu ya kujitegemea huwasaidia washiriki kuleta tambuzi za kiroho kwenye mahitaji yao ya kifedha. Sauti za Watakatifu wa Siku za Mwisho Dean CooperToleo Letu Bora ZaidiWakati mtunza bustani anapoona mti mgonjwa katika bustani ya viwanja vya Hekalu la Washington D.C muda mfupi kabla ya uwekaji wakfu upya, mke wake huandika orodha ya marafiki zake ili waombe kwa ajili ya uponyaji wa mti huo. Raúl Fabrizio GarcíaMasafa SahihiMdhibiti wa trafiki ya anga anao uwezo wa kumsaidia rubani aliyepotea katika ukungu baada ya rubani kuweka masafa ya anga ya mnara wa udhibiti. Giuseppe MonnoHazina Zangu KuuKusingizia kuwa Mtakatifu wa Siku za Mwisho humwongoza mtu kubatizwa na maisha mapya katika injili ya Yesu Kristo. David BaxterUjumbe Wangu kutoka kwa BwanaMwanaume ambaye si Mtakatifu wa Siku za Mwisho anajifunza kwamba kufundisha kutoka Kitabu cha Mormoni ni njia nzuri ya kupata ushuhuda juu ya kitabu hiki. Njoo, Unifuate Kuwa ShahidiKila mmoja wetu anaweza kuwa shahidi wa Kitabu cha Mormoni. Je, Ni Kitu Gani Kinafanya Maandiko Kuwa “ya Thamani Kuu”?Kama mabamba ya shaba kwa ajili ya familia ya Lehi, Kitabu cha Mormoni kimehifadhi kweli nyingi muhimu kwa ajili yetu. Je, Mimi ni “Mzamiaji” au “Mpiga Mbizi”?Je, ni nini tofauti kati ya wale waliong’ang’ania fimbo ya chuma na wale walioshikilia kwa nguvu fimbo ya chuma. Je, Mimi Ninamgeukia Bwana Kwanza?Kutathmini utegemezi wetu kwa wengine dhidi ya Bwana na injili Yake. Sanaa ya Kitabu cha MormoniLiahonaSanaa ya kuvutia inayoonesha tukio linalohusiana na maandiko. Vijana Wakubwa Diego TorresKushinda Ukosekanaji wa Kusudi la Kiroho—Nifanye Nini Sasa?Kijana mkubwa anajifunza kumfuata Yesu Kristo wakati wa nyakati za ukosekanaji wa kusudi la kiroho. Kwa Nini Mungu Alikuwa Habadilishi Maisha Yangu?Kijana mkubwa anaelezea jinsi gani kuelewa haki ya kujiamulia kuliboresha uhusiano wake na Baba wa Mbinguni. Mfululizo wa Matukio Kwa ajili ya WazaziKupata Nuru ya Mwokozi katika Kitabu cha MormoniMapendekezo ya kutumia toleo hili ili kuwafundisha watoto wako kuhusu kupata nuru ya Mwokozi katika Kitabu cha Mormoni. Kuzeeka kwa UaminifuMichelle Dennis ChristensenKupata Ukamilifu kupitia Yesu KristoKwa uhuru wangu mpya nilioupata kama kiota kitupu, kwa nini sikuhisi kukamilika? Kanisa Liko HapaBogotá, ColombiaMaelezo juu ya ukuaji wa Kanisa huko Colombia.