Misaada ya Kujifunza
1. Kijisitu Kitakatifu


1. Kijisitu Kitakatifu

Picha
picha 1

Kijisitu Kitakatifu kiko katika Maeneo ya Mji wa Palmyra na Manchester, New York. Kisitu hiki cha miti husimama magharibi tu mwa mahali ilipokuwepo nyumba ndogo ya magogo ya familia ya Smith katika mwaka 1820.

Matukio muhimu: Kutokea kwa Mungu Baba na Mwanawe, Yesu Kristo, kwa Nabii Joseph Smith kulifanyika katika kisitu hiki (JS—H 1:14–20).

Chapisha