Misaada ya Kujifunza
3. Nyumba ya Magogo ya Joseph Smith Mkubwa


3. Nyumba ya Magogo ya Joseph Smith Mkubwa

Picha
picha 3

Mfanano wa nyumba ya Joseph Smith Mkubwa, ilijengwa juu ya eneo la kiwanja cha mwanzoni cha nyumba ya mbao karibu na Palmyra, New York. Familia ya Smith ilijenga nyumba ya kwanza ya orofa 1½ na nusu iliyojengwa kwa magogo yaliyokatwa na kuchongwa kwa shoka siyo muda mrefu baada ya kuwasili kwao katika Palmyra.

Matukio muhimu: Joseph Smith Nabii alijifunza Biblia katika nyumba hii wakati alipokuwa akijishughulisha kujifunza juu ya Kanisa lililokuwa sahihi (JS—H 1:11–13). Moroni alimtokea Joseph na alimwambia juu ya mabamba ya Kitabu cha Mormoni (JS—H 1:30–47).

Chapisha