Maneno yanaweza kuwa na athari kubwa. Unaweza kuyatumia kusaidia au kuumiza wengine. Lugha mbaya inaweza kumfukuza Roho, lakini lugha nzuri inaweza kumwalika nyumbani kwako. Wafundishe watoto wako kutumia maneno kwa manufaa. Wasaidie wajifunze kutumia lugha iliyo safi, ya wema na aminifu. Unaweza kuanza na baadhi ya mawazo kutoka ukurasa wa 14.