2022
Kutembelea Uandaaji wa Video za Kitabu cha Mormoni
Septemba/Oktoba 2022


Kutembelea Uandaaji wa Video za Kitabu cha Mormoni

Picha
picture of children with actor playing Jesus

Karibuni, tulitembelea mojawapo ya maeneo ambapo video mpya ya Kitabu cha Mormoni ilikuwa ikirekodiwa. Tulipata kutazama tukio ambalo Yesu Kristo aliwatembelea watoto mmoja baada ya mwingine.

Tulitazama watoto wakigusa mikono ya mwigizaji anayeigiza kuwa ni Yesu. Alizungumza nao kwa wema, upole, kama vile ambavyo Yesu angefanya.

Watoto walituambia kwamba kwa sababu ya uzoefu wao, ushuhuda wao wa Kitabu cha Mormoni ulikua na nguvu zaidi. Yesu alikuja kwa Wanefi. Yeye aliwabariki watoto. Hadithi ni ya kweli.

Unaweza ukajua hilo pia. Soma Kitabu cha Mormoni. Tazama video za Kitabu cha Mormoni. Unapofanya hivyo, unaweza kumkaribia Yesu. Wewe ni mpendwa Kwake. Na Roho Mtakatifu atakusaidia kuhisi upendo na amani ya Mwokozi.

Mwigizaji aliyeigiza Yesu alikuwa mwema na mpole.

Picha
Primary presidency with children

Urais wa Msingi ulipenda kukutana na watoto kwenye uandaaji wa video.

Picha
a crane lifting up actors dressed like angels

Katika tukio hili, malaika waliinuliwa juu hewani kwa waya!

Picha
group photo of children on Book of Mormon set

Watoto wengi walikuwa kwenye video.

Picha
girl holding up umbrella for cameraman

Msichana huyu alimsaidia mtu wa kamera kukaa vizuri.

Picha
A young woman dress in a book of Mormon costume on the movie set.

Ilikuwa kama nilikuwa naishi Kitabu cha Mormoni.

Emoani W., miaka 11

Picha
A youth dressed as an extra in the Book of Mormon video.

Ilinisaidia kujua kwamba Yesu aliwatembelea hawa watu.

Isaac P., mika 7

Picha
A youth dressed in a Book of Mormon costume.

Wakati Yesu na Malaika wanatokea, Ilinifanya niwe na furaha.

Lilly W., miaka 8

Picha
A youth dressed in a Book of Mormon costume.

Unaweza ukashiriki video na yeyote!

Castle W., miaka 9

Picha
A youth dressed in a Book of Mormon costume.

Utajifunza zaidi pia kuhusu Yesu Kristo.

Christina C., miaka 9

Picha
A youth dressed in a Book of Mormon costume.

Ilinifanya nijiulize itakuwaje tukikutana na Yesu.

Rhett M., miaka 4

Picha
photos from children at Book of Mormon set

Chapisha