2022
Kadi za Shujaa wa Maandiko
Septemba/Oktoba 2022


Kadi za Shujaa wa Maandiko

Kata kadi, zikunje kwa kufuata mistari ya nukta na zifunge kwa kuzigundisha kwa tepu.

Eliya

Picha
crows bringing bread to Elijah

“[Yeye] alifanya kulingana na neno la Bwana.”

  • Alikuwa nabii. Alifanya miujiza mingi.

  • Hakufa. Mungu alimchukua moja kwa moja kwenda mbinguni.

  • Alimtokea Joseph Smith katika Hekalu la Kirtland. Alimpa Joseph funguo za ukuhani kwa ajili ya kuunganisha familia.

Mjane wa Sarepta.

Picha
a woman making bread

“Ninajua kwamba wewe ni mtu wa Mungu.”

  • Alikuwa amebakiwa na chakula kidogo tu kwa ajili yake na mwanawe.

  • Nabii Eliya alimwomba mjane amgawie chakula chao.

  • Mjane alishiriki pamoja na Eliya. Mungu alimbariki mjane huyo kwa kumfuata nabii.

Picha
cutout cards

Vielelezo na Alona Millgram

Chapisha