Hadithi za Maandiko
Isaya Anafundisha kuhusu Yesu Kristo
Picha
Old Testament man writing
Isaya alikuwa nabii. Aliishi kabla Yesu Kristo hajazaliwa. Lakini alijua kwamba Yesu angekuja.
Picha
Isaiah speaking
Isaya alisema kwamba Yesu atazaliwa kama Mwana wa Mungu. Yesu angesaidia na kuponya wengine.
Picha
Mary and Joseph with baby Jesus
Isaya pia alisema Yesu angekuja duniani. Angeitwa Mfalme wa Amani. Angetoa uhai wake kwa ajili yetu kwa sababu anatupenda sana.
Picha
women crying over Jesus’s body
Picha
resurrected Jesus holding out His arms
Mambo ambayo Isaya alifundisha yalitukia. Miaka mingi baadaye, Yesu alikuja duniani. Yeye alituonyesha njia. Alikufa na kuishi tena. Yu hai leo!
Picha
mom in bright clothes reading book about Jesus to children
Ninaweza kujifunza kuhusu Yesu Kristo. Ninapokumbuka kile ambacho amekifanya kwa ajili yangu, ninaweza kuhisi amani na matumaini!
Picha
coloring page of Jesus helping a woman
Vielelezo na Apryl Stott