2022
Kumfuata Yesu kwa Pamoja
Septemba/Oktoba 2022


Kumfuata Yesu kwa Pamoja

Picha
siblings showing their block buildings

“Kujenga Sayuni,” Koharu, Itsuka na Rento G., wenye umri wa miaka 8, 6 na 4, Gifu, Japani

Picha
girl holding drawing of the earth

“Uumbaji,” Takanta B., umri miaka 9, Samut Prakan, Thailand

Picha
drawing of eagle

Thomas F., umri miaka 9, Idaho, Marekani

Picha
drawing of First Vision

“Ono la Kwanza,” Aria N., miaka 8, Ohio, Marekani

Picha
drawing of mountains and lake

Brielle E., umri miaka 9, Texas, Marekani

Picha
drawing of person taking the sacrament

“Sakramenti,” Aron S., umri miaka 10, Piauí, Brazil

Picha
A photo of Sophie wearing a red sweater

Nilisomea mtihani wa hesabu na kuomba nifaulu vizuri. Nilisahau jinsi ya kutatua shida moja. Kwa hiyo nikaomba msaada kwa kusali. Dakika chache baadaye, niliona akilini mwangu jinsi ya kuitatua. Nilisema sala ya kimya nikimshukuru Baba wa Mbinguni kwa usaidizi.

Sophie N., umri miaka 10, Vienna, Austria

Picha
Young man named Melchizedek

Nilihisi wa pekee sana na furaha ya ziada nilipobatizwa katika siku yangu ya kuzaliwa ya kutimiza miaka nane.

Melchizedek G., umri miaka 8, Mkoa wa Kati, Ghana

Picha
A photo of a young man named Clark

Nilifunga kwa mara ya kwanza! Baadaye, nilimhisi Roho Mtakatifu.

Clark N., miaka 9, Arizona, Marekani

Picha
A young woman named Hail, she is holding a Book of Mormon.

Nimekuwa nikikatishwa tamaa na shule na janga la UVIKO, lakini Baba wa Mbinguni amenisaidia kuwa mtulivu. Ninajua Baba wa Mbinguni na Yesu wananipenda.

Hailey C., umri miaka 8, Nevada, Marekani

Picha
Young man named Rhett

Kulikuwa na kimbunga mahali ninapoishi. Niliomba kwamba kisingeipiga nyumba yetu. Asubuhi, tuliona matawi kila mahali! Watu kutoka kata yetu walikuja na kusaidia kusafisha. Nilimshukuru Baba wa Mbinguni kwa kutusaidia kuwa salama.

Rhett B., umri miaka 12, Wisconsin, Marekani

Picha
A photo of Elle sitting in a car.

Niliugua nikiwa safarini na nikapata baraka. Nilikuwa na imani kwamba ningeponywa na niliweza kufurahia safari iliyosalia na familia yangu.

Ellie G., umri miaka 10, Guayas, Ecuador

Chapisha