Septemba 2022 Daftari la Mkutano MkuuDaftari kwa ajili ya kuwasaidia vijana kujiandaa na kushiriki katika mkutano mkuu utakaofanyika Oktoba 2022. JiunganisheWasifu mfupi na ushuhuda kutoka kwa Lindsey B., msichana kutoka Kentucky, Marekani. Mzee Ulisses SoaresYesu Kristo Anatupatia Matumaini. Mzee Soares anatufundisha ni jinsi gani kuwahudumia wengine kama Mwokozi alivyofanya kunaweza kutubariki sisi kwa amani na matumaini. Njoo, UnifuateDavid A. EdwardsYesu Kristo Anaweza …Kweli zilizoandikwa maelfu ya miaka iliyopita katika Methali, Mhubiri, na Isaya zinatukumbusha kitu ambacho Bwana anaweza kutufanyia sisi leo. Msaada wa KimaishaMzee Patrick KearonWafikie Wengine na Tafuta Yaliyo MemaSisi sote tuko tofauti, na hilo ni la kupendeza! Hapa kuna baadhi ya mapendekezo kwa ajili ya kuwafikia wengine ambao wako tofauti na wewe. Njoo, UnifuateBradley R. WilcoxFunguo Nne za Nefi kwa Ajili ya Kumwelewa IsayaIsaya anaweza kuwa vigumu kueleweka, lakini Nefi ametupatia funguo nne za kufungua maandishi ya Isaya. David DicksonKitu ambacho Ark Anapenda KujifunzaMvulana anayeishi huko Malaysia amejifunza pakubwa baada ya kuhamia katika nchi nyingine—na baada ya kutambua kwamba ana mengi ya kujifunza kutoka kwa wazazi wake. Misingi ImaraRachel H.Mtanziko wa KuhamaMsichana anakasirikia mpango wa familia yake kuhama na anaombwa kuomba kuhusu hilo. Misingi ImaraDallin H.Jaribu la TabiaMvulana ameombwa kufanya kazi iliyo ngumu, joto, na chafu, na anajifunza somo kuhusu mtizamo na tabia. Misingi ImaraNatalie A.Kiwango cha UaminifuMsichana anajaribiwa ili aongeze pointi moja tu kwenye mtihani wa kuji-sahihishia mwenyewe ili aweze kufaulu. Sehemu ya BurudaniShughuli, michezo, na vichekesho kwa ajili ya vijana. Maswali na Majibu Maswali na MajibuKushiriki sakramenti nyumbani lilikuwa jambo kubwa mno. Kwa nini Bwana anatutaka turudi kanisani? Vijana wanajibu swali: Kushiriki sakramenti nyumbani kulikuwa jambo kubwa mno. Kwa nini Bwana anatutaka turudi kanisani? Kwenye HojaJe, kuna ukomo wa ni mara ngapi ninaweza kutubu?Jibu la swali, “Je, kuna ukomo wa mara ngapi ninaweza kutubu?” Neno la MwishoRais Russell M. NelsonJifunze juu ya Yesu Kristo na Uzifikie Nguvu ZakeRais Nelson anafundisha jinsi tunavyoweza kufikia nguvu za Yesu Kristo kwa kujifunza kumhusu Yeye. BangoWewe UnatoshaBango la kuvutia kuhusu kujihusisha na hisia za kujiona kutotosha.