Kwa Ajili ya Nguvu kwa Vijana
Nuru Yake Katika Mikono Yako
Januari 2024


“Nuru Yake katika Mikono Yako,” Kwa Ajili ya Nguvu kwa Vijana, Jan. 2024.

Video ya Dhima ya Vijana kwa Mwaka 2024

Nuru Yake katika Mikono yako

3 Nefi 5:13

Picha
kijana akiwa na taa ya chemli

Miaka elfu mbili iliyopita, maelfu ya watu walisikia kuhusu Yesu Kristo na kuchagua kumfuata Yeye. Leo, nawe unamfuata Yeye pia. Unayo nuru Yake ili kuishiriki. Wewe ni mfuasi Wake.

Kuwa mfuasi wa Kristo inaweza kumaanisha vitu vingi. Angalia mwaka huu video ya dhima ya vijana, na utafakari kuhusu kuwa mfuasi Wake humaanisha nini kwako.

Umebeba mwanga Wake mikononi mwako. Je utatumiaje nuru hii?

Chapisha