Kwa Ajili ya Nguvu kwa Vijana
Lehi Alikuwa Mfuasi wa Kristo
Januari 2024


“Lehi Alikuwa Mfuasi wa Kristo,” Kwa Ajili ya Nguvu Kwa Vijana, Jan. 2024.

Nami Pia

Lehi alikuwa Mfuasi wa Kristo

Nami Pia

Picha
Lehi

Lehi aliishi katika ulimwengu uliojaa watu waliokuwa wanafanya chaguzi mbaya (ona 1 Nefi 1:5). Alipenda familia yake, na alifanya makosa wakati mwingine (ona 1 Nefi 16:20), lakini alijua jinsi ya kutubu (ona 1 Nefi 16:24–27). Mojawapo ya malengo makubwa ilikuwa kuisaidia familia kuishi kwa utakatifu (ona 1 Nefi 2) na kumfuata Yesu Kristo. Naweza kujifunza mengi kutokana na mifano yake.

Chapisha