Kwa Ajili ya Nguvu kwa Vijana
Taa, Kamera, Fanya Tendo
Januari 2024


“Taa, Kamera, Fanya Tendo,” Kwa Ajili ya Nguvu Kwa Vijana, Jan. 2024.

Taa, Kamera, Fanya Tendo

Picha
wasichana wakienda kwenye ukumbi wa sinema

Nina hamu ya kuona sinema hii!

Mimi, pia!

Picha
wasichana wakiwa kwenye ukumbi wa sinema

Mm, kuna mambo mengi yasiyo mazuri katika sinema hii.

Ndio, ila ndivyo zinavyotengenezwa siku hizi.

Picha
wasichana wakiwa kwenye ukumbi wa sinema

Nadhani nitakwenda kusubiri nje.

Subiri kidogo. Nadhania nitaungana nawe.

Picha
wasichana nje ya ukumbi wa sinema

Oh, ee, Hannah. Sinema imemalizika?

Hapana, ila nadhani ninyi mko sahihi. Haistahili kutizamwa. Ungependa aiskrimu wakati tuna wasubiri wengine?

Picha
wasichana wakiwa na aiskrimu

Chapisha