Kwa Ajili ya Nguvu kwa Vijana
Mfuasi wa Kristo
Januari 2024


“Mfuasi wa Kristo,” Kwa Ajili ya Nguvu Kwa Vijana, Jan. 2024.

Wimbo wa Dhima ya Vijana kwa Mwaka 2024

Mfuasi wa Kristo

Picha
2024 Youth Theme Song

Nyota zinapotoweka na mawimbi makali kuja,

Nitainua macho yangu kwenye jua linalochomoza.

Yeye ni Mwana Mfalme wa Amani.

Huiimarisha nafsi yangu.

Mimi ni mikono Yake na miguu.

Ulimwengu mzima utajua

Mimi ni mfuasi wa Kristo.

Kamwe sitamwacha.

Yeye ndiye ukweli na uzima.

Yeye ni nguvu katika udhaifu wangu.

Nitaangaza hadi ulimwengu wote uone

Yeye ni nuru ya kutuweka huru.

Mimi ni mfuasi wa Kristo.

Nje ya njia zote ambazo ningefuata,

Kumpa maisha yangu ilikuwa ndo njia pekee (njia pekee).

Yeye ni moto wangu usiku, hewa kwa kila pumzi,

Kwa hiyo nitasimama na kushuhudia tena na tena

Mimi ni mfuasi wa Kristo.

Kamwe sitamwacha.

Yeye ndiye ukweli na uzima.

Yeye ni nguvu katika udhaifu wangu.

Nitaangaza hadi ulimwengu wote uone.

Yeye ni nuru ya kutuweka huru.

Mimi ni mfuasi wa Kristo.

Mfuasi wa Kristo.

Mfuasi wa Kristo.

Mimi ni mfuasi wa Kristo.

Kamwe sitamwacha.

Yeye ndiye ukweli na uzima.

Yeye ni nguvu katika udhaifu wangu.

Nitaangaza hadi ulimwengu wote uone

Yeye ni nuru ya kutuweka huru.

Oh, mimi ni mfuasi wa Kristo.

Mfuasi wa Kristo.

Mfuasi wa Kristo.

Chapisha