Kwa Ajili ya Nguvu kwa Vijana
Mfalme Lamoni Alikuwa Mwanafunzi wa Kristo
Julai 2024


“Mfalme Lamoni Alikuwa Mwanafunzi wa Kristo,” Kwa Ajili ya Nguvu Kwa Vijana, Jul. 2024.

Bango

Mfalme Lamoni Alikuwa Mwanafunzi wa Kristo

Hata mimi pia

Picha
Mfalme Lamoni

Baada ya Amoni kufundisha kutoka katika maandiko na kushuhudia juu ya Mungu na Yesu Kristo, Mfalme Lamoni alizidiwa na Roho. Alianguka chini na hakuweza kujisogeza kwa siku mbili mchana na usiku.

Alipoamka, alisema:

“Nimemwona Mkombozi wangu; … na atawakomboa wanadamu wote wanaoliamini jina lake” (Alma 19:13).

Kama Mfalme Lamoni, ninaweza kujifunza ukweli na kuushiriki pamoja na wale wanaonizunguka.

Chapisha