Kwa Ajili ya Nguvu kwa Vijana
Sehemu ya Burudani
Julai 2024


“Sehemu ya Burudani,” Kwa Ajili ya Nguvu kwa Vijana, Julai 2024.

Sehemu ya Burudani

Picha
Sehemu ya Burudani

Vielelezo na David Klug

Kukusanya Kondoo

Je, unaweza kumsaidia Amoni kukusanya kondoo wa mfalme? Usijali—haina haja ya kukata mkono wa mtu yeyote. (Kwa hadithi za Amoni, ona Alma 17.)

Wasimamie kondoo ili wote waingie kikamilifu ndani ya zizi. Unaweza kufanya hivyo kwa kukata vipande vya mafumbo kwenye ukurasa wa 29 (baada ya kusoma makala kwenye ukurasa unaofuata) na kuvipanga, au badala yake unaweza kuchora.

Mchezo wa Mbegu wa Sudoku

Katika Alma 32, neno la Mungu linafananishwa na mbegu “iliyopandwa moyoni mwako.” Je, unaweza “kupanda” kila moja ya mbegu tisa tofauti kwa kujaza mraba? Lazima uwe na moja (na moja tu!) ya kila aina ya mbegu katika kila safu, nguzo na kisanduku chenye rangi.

Vichekesho

Picha
kichekesho

Je, Joey anaweza kuja kucheza?

Val Chadwick Bagley

Chapisha