Kwa Ajili ya Nguvu kwa Vijana
Majibu ya Papo Hapo
Julai 2024


“Majibu ya Papo hapo,” Kwa Ajili ya Nguvu kwa Vijana, Julai 2024.

Majibu ya Papo Hapo

Picha
Msichana akiwa na mwalimu

Kukariri jiografia ni vizuri. … Lakini ninaweza kukuonyesha jinsi ya kutafuta miji mikuu mtandaoni ikiwa ungependa!

Picha
Msichana akiwa na baba

Mawingu kiasi na uwezekano wa kunyesha mvua kwa 3%, Baba. Ipo kwenye intaneti.

Picha
Msichana akiwa na mama

Ninaweza Kuirekebisha! Unaweza kujua chochote mtandaoni.

Picha
Msichana akiwa kanisani

Alma 32 Ushuhuda = jitihada

Hmm. Labda hakuna majibu ya papo hapo mtandaoni ya kila kitu.

Picha
msichana akisali

Nisaidie kuwa na bidii na subira ili kuimarisha ushuhuda wangu.

Picha
msichana akimsomea dada, akichukua sakramenti na akienda hekaluni

Miezi Michache Ijayo

Picha
Msichana akiwa na baba

Je! unayo maelezo ya mapishi?

Ndiyo. Unaweza kujifunza karibia kila kitu mtandaoni.

Chapisha