Kwa Ajili ya Nguvu kwa Vijana
Baraka Zako za Kipatriaki
Julai 2024


“Maneno ambayo Kwayo Tunaishi,” Kwa Ajili ya Nguvu kwa Vijana, Julai 2024.

Maneno ambayo Kwayo Tunaishi

Baraka Zako za Kipatriaki

Imechukuliwa kutoka katika hotuba za mkutano mkuu wa Aprili 2023 zilizotolewa na Mzee Kazuhiko Yamashita na Mzee Randall K. Bennett wa Sabini.

Picha
mvulana

Vielelezo na Guev

  • Ina ushauri binafsi kutoka kwa Bwana kuja kwako.

  • Picha
    mti wa familia

    Inataja ukoo wako katika nyumba ya Israeli.

  • Picha
    maandiko

    Ni maandiko binafsi.

  • Picha
    funga

    Ni takatifu na ya siri.

  • Picha
    ramani

    Haichori ramani ya maisha yako.

  • Picha
    ufunguo wa jibu

    Haijibu maswali yako yote.

Kama haitaji tukio muhimu katika maisha yako, usichukulie kwamba hiyo inamaanisha hautapata fursa hiyo. Baraka ya kipatriaki ni ya milele, na kama utaishi kwa kustahili, ahadi ambazo hazijatimia katika maisha haya zitatolewa katika maisha yajayo.

Picha
wanawake

Je, Unapaswa Kuwa na Umri Gani?

  • Umepevuka vya kutosha kuelewa umuhimu na asili ya utakatifu wa baraka hii na kuelewa mafundisho ya msingi ya injili.

  • Kiuhalisia mkubwa vya kutosha kwamba maamuzi mengi muhimu katika maisha bado yanatazamiwa.

Baraka kutoka kwenye Baraka Zako

Chapisha