2023
Unapohukumiwa Pasipo Haki
Machi 2023


“Unapohukumiwa Pasipo Haki,” Kwa Ajili ya Nguvu Kwa Vijana, Machi 2023.

Unapohukumiwa Pasipo Haki

Picha
vijana katika Shule ya Jumapili
Picha
mvulana akiandika mihtasari katika darasa kanisani

“Ni hoja kuu iliyoje! Nataka kuandika hiyo.”

Picha
Mwalimu Shule ya Jumapili akizungumza na mvulana

“Stephen, huu sio muda wa michezo ya simu. Lexi anashiriki kitu fulani muhimu.”

Picha
mvulana katika Shule ya Jumapili

“Hapana, nilikuwa nikiandika mihtasari tu!”

Picha
mvulana akiwa anatembea nje

“Mimi siwezi kuamini Kaka Henderson aliniaibisha hivyo mbele ya darasa lote! Na yote niliyofanya ni kuandika kile Lexi alichosema!”

Picha
mvulana na mama wakiongea

“Hali hii inanikumbusha wakati Kapteni Moroni alipoandika baadhi ya mambo yasiyo ya upole kwa Pahorani, ingawa tunajifunza kwamba Pahorani hakuwa amefanya makosa yoyote.”

“Hah. Uko sahihi. Ninaipenda hadithi hiyo.”

Picha
mvulana akisali

“Tafadhali nisaidie nimsamehe Kaka Henderson, kama vile Pahorani alivyomsamehe Moroni.”

Picha
vijana katika Shule ya Jumapili

Chapisha