Machi 2023 Daftari la Mkutano MkuuDaftari la kuwasaidia vijana kujiandaa na kushiriki kwenye mkutano mkuu utakaofanyika Aprili 2023. JiungeWasifu na ushuhuda mfupi kutoka kwa Rikuto I, mvulana kutoka Japani. Mzee Dieter F. UchtdorfAmani ya Kukabiliana na Dhoruba za MaishaMzee Uchtdorf anafundisha jinsi Bwana Yesu Kristo anavyosema kwako wakati wa dhoruba katika maisha yako: “Nyamaza, utulie.” David A. EdwardsKanuni Kuu, Chaguzi MaalumuJe, tunafanya nini wakati watu hawatumii kanuni kuu katika njia zile zile maalumu? Sandra EdwardsTayari Kuwa MmisionariHapa kuna baadhi ya vitu vya kufikiria unapojiandaa kutumikia misheni. Njoo, UnifuateJessica BrousseauYesu Kristo: Amani kati ya DhorubaOna jinsi vijana wanavyoipata amani katika Yesu Kristo wanapopitia katika vurugu kubwa katika maisha yao. David Dickson na Emily JonesUnapohukumiwa Pasipo HakiHadithi ya kielelezo inayoonyesha jinsi kijana anavyoshinda hisia ya kuhukumiwa pasipo haki. Marissa WiddisonJinsi Mwokozi Alivyowatendea WanawakeOna jinsi Mwokozi alivyowatendea wanawake kwa heshima katika Agano Jipya. Priscilla Biehl Motta na Jessica Zoey StrongKuwa Shujaa wa KweliFelipe ni mmoja wa wanasanaa wa michezo ya vita duniani kama vile karate, judo na Michezo Mseto ya Sanaa za Vita (MMA). Lakini kutumikia misheni ilikuwa kipaumbele chake nambari moja. Nayaweza Mambo Yote katika KristoRuby H.Mwokozi Anajua Jinsi ya Kunisaidia Mimi Kupitia SarataniMsichana anagundua anateseka kutokana na hali mbaya ya afya na kisha kujifunza mengi kuhusu Upatanisho wa Mwokozi. Nayaweza Mambo Yote katika KristoKenneth B.Tunaweza KutubuMvulana ambaye amefanya makosa anajifunza kuhusu baraka za kumgeukia Bwana na kutafuta toba. Maswali na Majibu Maswali na Majibu“Ninawezaje kuwasaidia vyema marafiki zangu ambao hawashiriki kikamilifu Kanisani kuimarisha ushuhuda wao?”Vijana wanajibu swali: “Ninawezaje kuwasaidia vyema marafiki zangu ambao hawashiriki kikamilifu Kanisani kuimarisha shuhuda zao?” Kwenye HojaMarafiki zangu hucheza kamari. Mimi najua ni makosa. Ninawezaje kuwaelezea wao?Jibu la swali: “Marafiki zangu hucheza kamari. Najua ni makosa. Ninawezaje kuwaelezea?” Mstari juu ya MstariNjoni KwakeJifunze kuhusu mwaliko wa Mwokozi wa kuja Kwake katika Mathayo 11:28–30. Mifano ya MwokoziMpanziBango ambalo linaonyesha na kuelezea mfano wa Mwokozi kuhusu mfano wa mpanzi.