2023
Mpanzi
Machi 2023


“Mpanzi,” Kwa Ajili ya Nguvu kwa Vijana, Mar. 2023.

Mifano ya Mwokozi

Mpanzi

Mathayo 13:3–9, 18–23; Marko 4:3–9, 14–20; Luka 8: 4–8, 11–15

Picha
bango

Pakua PDF

Mpanzi

Mwokozi na Watumishi Wake

Mbegu

neno la Mungu

Zilitawanywa katika aina tofauti za ardhi

Ilihubiriwa kwa watu wenye viwango tofauti vya maandalizi ya neno.

Kando ya njia

Moyo mgumu, ambao haujaandaliwa, hamna tamaa ya wema

Ndege walikula mbegu

Ibilisi huliondoa neno kutoka mioyoni mwao.

Penye miamba

Hamna mzizi katika injili, hamna uongofu

Zikaota, zikaungua, zikanyauka

Dhiki na mateso upesi yakawageuza kutoka kwenye neno.

Miiba

Shughuli za duniani, udanganyifu wa mali

Zikasongwa

Mambo ya dunia huisonga injili na matunda yake.

Udongo mzuri

Uaminifu na moyo mwema, wanaongolewa

Huzaa matunda

Huipokea injili, huiishi na hujitahidi kupata uongofu wa kina.

Chapisha